Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni mkoani Tanga leo. Picha na Sunday Geoerge Handeni. Serikali ya Tanzania imesema ...
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linachunguza tukio la kupotea kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu anayeishi na wazazi wake Kata ya Mpela, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ...
Dar es Salaam. Ukiacha makundi ya vijana, wanazuoni, watumishi wa umma na wanataaluma mbalimbali, uchukuaji fomu za ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), umewaibua mawaziri kadhaa ambao pengine ...
Wajumbe kupitia UWT Wilaya ya Geita ,wakiwa kwenyw ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyankumbu wakisubiri kupiga kura kuchagua madiwani viti maalum. Geita. Wajumbe 3,000 wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha ...
Uchumi wa familia ni nguzo muhimu inayochangia ustawi wa jamii na maendeleo ya mtu binafsi. Familia yenye usimamizi mzuri wa uchumi wake huwa na uwezo wa kukidhi mahitaji ya msingi, kuweka akiba, na ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Dar es Salaam. Miaka 10 ya Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ya kipekee machoni mwa Watanzania, kuanzia kwenye uteuzi wake hadi sasa anapoondoka katika ofisi ...
Dar/Mikoani. Makada wa CCM wamezidi kujitokeza kuchukua fomu katika majimbo mbalimbali nchini wakiomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 ...
Dar es Salaam. Jana mida flan hivi, mdogo mdogo wakati narudi nyumbani nikiwa natoka zangu Jangwani kupiga kelele na kina Mzize. Nikakumbuka mfukoni sina hata mia, mawazo yakahama kutoka Jangwani hadi ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania sasa iko tayari kuanza usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, baada ya kuipangia ...