Mgombea ubunge Uyole kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(Chaumma),Ipyana Njiku akizungumza na mmoja wa wajasiriamali Soko la Uyole wakati akiomba kura na kuhamasisha kujitokeza kushiriki uchaguzi mkuu ...
Idara ya Uhamiaji nchini imewaondosha raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza zao za matembezi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 14, 2025 na Msemaji wa Idara ya ...
Mkurugenzi wa Biashara wa Pass Trust Adam Kamanda, akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa taasisi hio inayojihusisha na masuala ya kilimo leo Octoba 13, 2025 kwenye kituo cha ...
Dar es Salaam. Baada ya Serikali ya Marekani kuiweka Tanzania miongoni mwa nchi ambazo raia wake hupaswa kufuata utaratibu wa dhamana ya viza kuingia nchini humo, Serikali imesema itaendelea na ...
Mogadishu. Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, ametangaza kuwa Serikali yake inajiandaa kuanzisha lugha ya Kiswahili katika mtaala wa shule za kitaifa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ...
Dar es Salaam. Tundu Lissu, mshtakiwa katika kesi ya uhaini amechuana kwa maswali na shahidi wa kwanza wa Jamhuri, mchuano uliodumu kwa takribani saa sita. Lissu, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha ...
Arusha. Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala) limeridhia azimio la kulitaka Baraza la Mawaziri na nchi wanachama wa Jumuiya hiyo kuharakisha mchakato wa kuwa na bima ya afya kwa wote, ili kuwa ...
Nyota wa JKT Queens wameteka kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' kinachojiandaa na mechi mbili za kuwania Kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 dhidi ...
Kama unataka kutazama mbashara Fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico mwakani unapaswa kuandaa fungu la kutosha ili uweze kumudu gharama za usafiri, malazi na tiketi ...