KLABU ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro, imetozwa faini ya jumla ya Sh20 milioni kwa kosa la kuanza msimu wa Ligi Kuu Bara ...
Kenya Police FC, ina imani kwamba Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) litatoa uamuzi mzuri kwao baada ya kuwasilisha ...
UONGOZI wa TRA United upo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kupata kocha mkuu wa kuinoa timu hiyo ambapo kwenye ...
WAYNE Rooney amesema mastaa wawili wa Liverpool, Virgil van Dijk na Mohamed Salah wanapaswa kupambana kwa nguvu zao kumsaidia ...
Beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, amemshauri kiungo Kobbie Mainoo kuiga mfano wa mchezaji mwenzake Casemiro ...
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amesema wana kazi kubwa ya kufanya kukabiliana na Singida Black Stars ambayo ...
JULAI 3, 2025, uongozi wa Singida Black Stars ulimtambulisha rasmi aliyekuwa Kocha wa Yanga, Muargentina Miguel Gamondi, ...
Bingwa wa dunia wa mbio za marathoni, Peres Jepchirchir, anasema mapumziko ya miezi miwili kutokana na jeraha la mguu ...
MAISHA yanakwenda kasi sana. Baada ya msimu uliopita kutawala kwa urahisi wa kushangaza, Liverpool ilionekana kuwa tayari ...
BAADHI ya wanamuziki wakongwe wa Bongo Fleva, wameizungumzia mitandao ya kijamii namna inavyorahisisha kazi zao kuwafikia kwa ...
KATIKA Ligi Kuu Bara na Championship kuna mastaa wengi wanaotokea katika vituo vya kukuzia soka la vijana. Wapo wanaotamba ...
TIMU ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imefuzu kwa mara ya tatu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) baada ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results